Friday, April 1, 2011

WAHUDUMU WA TALITHA KUMI

Mhudumu wa TALITHA KUMI anatakiwa awe na sifa zifuatazo:
  • Awe amempokea YESU KRISTO kama Bwana na Mwokozi wa maisha yake.
  • Awe tayari kujitoa kwa ajili ya YESU KRISTO na si Mwanadamu.
  • Awe amesajiliwa ndani ya TALITHA KUMI.
  • Awe tayari kufuata Katiba na taratibu za TALITHA KUMI

No comments:

Post a Comment