Friday, April 1, 2011

MALENGO YA TALITHA KUMI

  1. Kutimiza neno la kinabii katika mpango wa YESU KRISTO wa kulijia na kulirejeza kanisa lake.
  •    Kuleta uamsho wa kanisa ulimwenguni kote kwa maana wakati wa Bwana na jeshi lake umetimia katika hatua katika hatua za mwisho za unyakuo wa kanisa .(Yoeli 1:15)
     2.Kuinua vipawa vya Kimungu kati ya vijana kwa matabaka yote 

    3. Kukutana na jamii za watu mbalimbali  wenye mahitaji maalum kama wagonjwa,walemavu,waathirika 
        wa UKIMWI na madawa ya kulevya.  

   4.  Kutoa ushauri na kufanya maombezi kwa watu wenye mahitaji mbalimbali

No comments:

Post a Comment